Makapuku Forum

Mimi binafsi siamini katika uwekezaji wa namna hiyo
 
Mcheza kwao hutuzwa hata kwa mbeleko
 
Kweli ..Ila inaumiza sana wasted years
 
Kabisa, familia ina wakati mgumu
Tuwaombee wapate faraja na wapate maarifa wasonge mbele maana hata hilo deni mrithi/msimamizi wa mirathi litamhusu

Yupo mtu namfahamu alikua na pesa nyingi sana Mungu akamchukua kwa ajali , hakika mke wake anapitia wakati mgumu mno ,maana madeni ,ahadi zote za marehemu anafuatwa yeye naye anasema hajui lolote ni mtihani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…