MaajabuTANZANIA PEKEE NDIO KUNA ABIRIA AINA SABA.( 7 ).
_________________________________________________
1.Yupo abiria anayemtukana Konda ...lakini kumbe nauli ameacha nyumbani.
2.yupo aliyepitiwa na usingizi...huyu anapokurupuka hajielewi....utasikia shushaaaa bwege wee!..........anashushwa kambi ya jeshi!
3 .Yupo mwingine msumbufu na mvivu halafu ana lawama....huyu anakaa mbali na mlango halafu usishangae akaomba msaada kwenye round about.
4.Yupo aliye makini na Safari..yeye anakwenda na Muda, huyu ukimpitisha kituo gari itajikuta Sumatra Head office.
5.Halafu Yule wa siti ya nyuma yeye hukoroma na tiketi mkononi ...huyu haigwi. ...maana mara nyingi hushukia kituo cha mwisho hata kama ni Makaburini.
6.Yupo asiyeelewa jina la kituo..amekariri panauzwa Mananasi Mengi, sasa akikuta Wameweka Matikiti basi ataenda na gari mpaka gereji.
7.Wa mwisho ni Staff...halipi nauli...huyu yeye hana safari maalum, ni kama anafanya utalii wa ndani, huyu hashuki hata kama ni trip ya Mkaa.
kapuku katika ubora wake
Amina mkuu!Uko vizuri,ni muhimu kuushinda moyo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126]```
JE UNAJUA????
Siku ya mwanamke duniani originally ilipangwa isherekewe tar 25 February .....
[emoji117]Ila kutokana na kujianda kwingi, kujipodoa na kujiangalia saana wakajikuta wanachelewa hadi wakasherekea tar 8 March......
JE WAJUA?
Hata siku ya mwanaume duniani ilipangwa......
[emoji117]Ila kama kawaida yetu wazee wa kupotezea vitu vya kijinga tumeshasahau ni tar Ngapi.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeeeh! Hivi BlessedHope ni mama?Mama mchungaji ....
We Mondray una hatariBaba na mama mchungaji wanapiga story
Wao wana nyota ya tembele..ila sio kwamba wanakula Matembele...Sifa ya matembele ni kuongeza damu mwilini
Kwahiyo huyo ni mchangiaji mzuri wa damu
baltika zero hii n mpyaAkitaka baltika zero[emoji87] [emoji346]
I see unaamuaje kuwa huyu ni ke au me?nafikiria tu!Mm sakayo na chikira mtabari nilijua vidume hao
Mondray yuko na Paprika now...! Relax afu jiaminiNamlinda na watu kama mondray
Muzima namshukuru Mungu pole na majukumu....ubarikiwe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mzima weye?
I love her to death! Though she's pushing me to temptations..[emoji23][emoji23]Mkuu pole sana hivi clkey wangu hajakonda kwa presha ,,,,
Sio mbaya yuleeeeeeeee mtuuuuuuu yuleeeeeeee ukamuangaliaa kwa jicho la kidogo
Ndukiiiiiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Anakutaka na wewe pia?We Mondray una hatari
sukari guru ninayoijua hii au ya kwako tofauti [emoji15]Mkuu
Hii arsenal inaaharibu mahusiano yangu na Clkey...
Yaani wakati wanasayansi wakisema tule sukari guru kwa mara 4 kwa week ...
Clkey ananibania kesa Arsenal wamefungwa..[emoji26][emoji26][emoji26]
Nitaweka mkuu bado natafuta ya kunifaa Werrason alipendekeza Bible naomba nawe nisaidie niweke nini?Siku zote nilifikiei dume duh
Samtaimu ID zinasumbua kujua jinsia ya mtu
Angeweka japo avatar labda ingesaidia
Anyway sio ishu
..........
nilimtania tuBora umeona uongo wa mkeo..! She doesn't deserve you..
Shunie na wewe bhana!sukari guru ninayoijua hii au ya kwako tofauti [emoji15]
Hahahaha hapana hajafanya hivyoAnakutaka na wewe pia?
Mbonaa alimtaka mapemaAnakutaka na wewe pia?
kumbe ile ndio sukari guru sasa pm nije kufanya nn tenaShunie na wewe bhana!
Unakuaje kama mtoto? Kile kitu unampaga lee mpaka anasahau wanawake wengine ndo sukari guru..!
Au kama vipi njoo Pm nikupe vitu kuntu...
Muuleze nipo na cute girl wangu paprikaMondray yuko na Paprika now...! Relax afu jiamini