[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Na bado
Heshima itakuwepo kwa MAKAPUKU
Thread hot : MAKAPUKU
Vinaara wa likes : MAKAPUKU
Most replies thread: MAKAPUKU
Most views :MAKAPUKU
Wakongwe wanachungulia kaenye katundu kadogo hawaamini kinachotekea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
....................
Wamepoteana.Kwa sasa hawana jipya
Mpaka kielewekeeNi kweli kabisa kapuku hamna kukata tamaa
Wale watu wana maneno machafu aisee.Au shule bado hazijafunguliwa tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Full kuzinguaHayo sasa mengine
Ya upendoHayo mazungumzo ya amani au
MmmmhFull kuzingua
Ye mwenyewe anajua kuwa tulipofikia sio pabayaKwa niaba ya makapuku wote humu ndani nakuomba umuangalie huyu kijana kwa jicho la huruma tafadhali.
Hebu nisikie kidogo basi[emoji101] [emoji101]Ya upendo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu haya majibu ni balaa.
Pazuuuuuri.....Nikipata time lazima niende pale
Mkuu vipi una undugu na mshana jr?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante mpendwa, ntazifikisha usijali.Radhi imekubaliwa, mpe salamu pia
Sana tuuuuu[emoji4]Ndo manake. Unamkazia tu mwa mwi
Basi kheri,tunawatakia mazungumzo mema.Ye mwenyewe anajua kuwa tulipofikia sio pabaya
Saluti kwakoSana tuuuuu[emoji4]
[emoji85] [emoji85] yani uscreenshot kisha akija unamtag???Hili jibu lako inabidi ni screenshot maana huchelewi kubadili mawazo.
Mkuu vipi?Asante mpendwa, ntazifikisha usijali.