1900 - Klabu ya soka ya Bayern Munich ya Ujerumani yaanzishwa rasmi.
Ndio klabu yenye mafanikio zaidi katika soka la Ujerumani. Klabilu hiyo inapatikana katika jimbo la Bavaria.
Aliianz Arena ndio uwanja wa nyumbani wa klabu hiyo.
Wachezaji wengi wenye majina makubwa nchini humo wamechezea timu hiyo.
Mholanzi Mark Van Bommel ndio mchezaji pekee asiyekuwa Mjerumani kuwa Kepteni katika historia ya timu hiyo.
Jina lao la utani ni " The Bavarians "