Makapuku Forum

Rooney hayupo mioyoni kwa mashabiki wengi licha ya kuvunja rekodi nyingi klabuni.

Hata mabango yake pale Old Traaford hakuna.

Siku hizi naliona sana bango la " The Special Juan " likimsifia Juan Mata.

Muda si mrefu tutaona bango la Zlatan.
Lakini namba hazidanganyi
Wazza ndo mchezaji mwenye mafanikio zaidi Man Utd
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…