Makapuku Forum

1993 - Robert " Bobby " Moore anafariki Dunia. Mchezaji wa zamani West Ham na timu ya taifa ya England.

Alikuwa ni kepteni wa timu ya taifa ya England iliochukua Kombe la Dunia mwaka 1966 katika ardhi ya nyumbani kwa mara ya kwanza na ya mwisho mpaka sasa.

Ndiye kepteni mdogo kushika wadhifa huo, alishika wadhifa huo akiwa na miaka 22.

Klabu yake ya West Ham imestaafisha jezi yake namba 6 aliyokuwa anaitumia klabuni hapo.
 
- Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Dikteta wa Makapuku Forum, Mussolin5

Namshukuru Mungu kwa kunibariki kufika siku hii kubwa kwangu, shukrani na pongezi pekee zeinde kwa wazazi wangu, sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea kwa Mungu awabariki katika maisha yao.

Happy birthday to ME.
 

Rooney naye aonfezwe kwenye mnara
.....
 

Gwiji
.....
 
HBD Dikteta
Mzee wa historia
Mtu usiye na makuu wala mbwembwe
Live longer
..................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…