poa kapuku mwenzangumpotezee huyo
Salama kabisa mrembo, vipi wewe?Makapuku mliopo shift ya mchana mambo vipi?
Mm nakatia shift ya mchana karibuni makapuku wezanguMakapuku mliopo shift ya mchana mambo vipi?
Mtongozo unaruhusiwa ila usinisahau katika ufalme wako my dear!!..... Na mimi nataka!Hairuhusiwi kwani?
Sidhani, huo ni mtazamo wako binafsi.Thread ya makapuku imebadilika kuwa mtongozo!
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji49] [emoji37]Mtongozo unaruhusiwa ila usinisahau katika ufalme wako my dear!!..... Na mimi nataka!
Na wewe unahitaji mtongozo kwa lizziebettie?Mtongozo unaruhusiwa ila usinisahau katika ufalme wako my dear!!..... Na mimi nataka!
Haya!...........Sidhani, huo ni mtazamo wako binafsi.
Ombi langu kubwa kwake asinisahau katika ufalme wake kwenye haya mambo!..... Na kama itawezekana bila kupitia mtongozo itakuwa poa zaidi mkuu!Na wewe unahitaji mtongozo kwa lizziebettie?
Unamaanisha akutafutie na wewe ama unamtaka yeye kabisa?Ombi langu kubwa kwake asinisahau katika ufalme wake kwenye haya mambo!..... Na kama itawezekana bila kupitia mtongozo itakuwa poa zaidi mkuu!
Yeye alishaelewa mkuu!Unamaanisha akutafutie na wewe ama unamtaka yeye kabisa?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna jambo nimeonyeshwa..uje nikufanyie maombi jimena...uje na mr wako
Kwani ni vibaya nami kujua, kumbuka mimi ni shemeji mtu na lizziebettie.Yeye alishaelewa mkuu!
Na kwako pia mrembo.Mchana mwema wapendwa
Mie pia niko poa sanaNiko poa kabisa. Sijui wewe
Wifi ndoa lini?? Kamati tumeshajipanga vyemaBaby nimeshamjibu my wii
Love yu......
Karibu tena wifi,Umenimiss sana eeh?