Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Poa sana sijui wewe?Mambo yako jimena
Poa sana sijui wewe?Mambo yako jimena
Niko vizuri piaPoa sana sijui wewe?
Ukiisha useme bitozi
mpotezee huyo..heshima kitu cha bure tuheshimiane bro
Vipiiiiweeewe
anko hujamboooWafungwe tu hao watu wa katalunya maana hakuna namna nyingine
Sijambo shikamoo mjombaanko hujambooo
nimekumisVipiiii
Poa niaje wifiVipiiii
aaahhhh anko acha izo bhana shikamoo ya nini tena bhanaSijambo shikamoo mjomba

Mtu hataki shikamoo ya mjomba ake..... Shughuli pevuaaahhhh anko acha izo bhana shikamoo ya nini tena bhana![]()
![]()
Salama wifiPoa niaje wifi
sa totoz zikiona hyo shikamoo si zitanikimbiaMtu hataki shikamoo ya mjomba ake..... Shughuli pevu
Miss u too baba mkwenimekumis