Makapuku Forum

Breaking News:

Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini "Chadema" muheshimiwa Freeman Mbowe akamatwa na kete 24 nyumbani kwake Mikocheni.
Inasemekekana kete hizo zilizikuwa zimehifadhiwa katika eneo la kupumzikia "lounge" lililopo katika bustani ya nyumbani kwake. Hata chanzo chetu cha habari kilitufahamisha kuwa kete hizo zilihifadhiwa mahali hapo kwa kuwa ndipo yeye na marafiki zake huzoea kukaa hapo kwa mapumziko na maongezi baada ya kazi za kutwa nzima. Chanzo cha habari kilifafanua kuwa kete hizo huwa wanazitumia kuchezea mchezo maarufu wa draft. Kete 12 ni za rangi nyekundu na 12 nyingine ni za rangi ya njano. Kufuatia taarifa hii huenda muheshimiwa akawa ni mshabiki wa timu mojawapo kati ya simba na yanga
 
Teja mkubwa ww

........
 
Mukongo kuwaga siliasi bwanaaah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…