Makapuku Forum

Mchagga hata apate kazi bank bado atasema yupo "kibaruani".

Acha sasa Mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa;
utaskia "I work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company"

nimeskia kwa jirani tu, sijamtaja mtu.
 
Yepi?
vigodoro? I hate them like sh-t


...achan hizo, kuna mechi zetu, mwamuzi kibaka , kitumbua kikidondoka kinapanguswa kitu pwani. Tunasalimiana na kujuana mtaa mzima, hakuna kutombokeana ila hatuna shida na kulombeana maana mafundi wamejaa na tunahitaji kusambaziana upendo.
Unajuana na tunajuana ndo maana tunabarikiana kwa dhiki.
Kuna kingine unataka kujua unachokosa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…