BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Habari za asubuhi wakuu,nawatakia siku njema Mungu awabariki iwe siku ya baraka na mafanikio.
Bhinamuuu potezea bhasiiArsenal, kimya chenu msidhani hatujaangalia game yenu
Mkuu weekend inaendajeHabari za asubuhi wakuu,nawatakia siku njema Mungu awabariki iwe siku ya baraka na mafanikio.
Majungu hayo sasa
Kwema mkuuZa jioni makapuku
Kwema kabisa mkuu, vp shemela mzima?Kwema mkuu
Mzima kabisa Leo furaha tele simba yake imefunga mimi unajua nilichokifanya ...bhasi full raha na mautundu yakeKwema kabisa mkuu, vp shemela mzima?
Hahahh! Leo sijui kama nitapikiwa mkuuMpira umeisha arsenal amefunga goli moja



Shemela Leo kazi unayo ...kanuna kinomaaaHahahh! Leo sijui kama nitapikiwa mkuu![]()
Tamu yanguuu!Hayo ndo maneno ss
Mkuu inabidi nianze kumbembeleza kabisa...manake naweza nikakosa kila kitu...Shemela Leo kazi unayo ...kanuna kinomaaa


Leo mkuu hupati chochote imekula kwako mkuuMkuu inabidi nianze kumbembeleza kabisa...manake naweza nikakosa kila kitu...![]()
Tamu yako kavurugwa leoTamu yanguuu!