M,buyu ulianza kama mchicha. Enzi hizo Queen yupo juu ukipiga nae picha umaarufu una kukaribia[emoji3] ila saiv kaka mtu yeye ndo kioo kila mtu macho kwake. Maisha haya hayana formula[emoji30] . Hakika usimdharau usiemjua maana kesho yake huitambui
God win

Naomba tangaza jimbo liloko wazi afu njoo na hao kina mondray uone...Utawaweza mabinti kapuku ...muulize Transcend ila hasikudanganye tunaweza mnyanganya ukapewa wewe jimbo
HahahaaA nouma sanaHausi gelo atafunwe we udai aifon?..... mkyaga nini?
Hahhaaaa! Lee mbona kila mtu anajaribu kumchukua shemela mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]Ebu chekecha wallet
Kasepa huyo [emoji23][emoji23]Unaenda wapi?
Too dangerous dating someone corward..Lee ni muoga
Kwema mkuu! KaribuNdugu wazima humu ndani?
Tunamkaribisha sana!Jimena amebanwa na majukumu ya kimaisha hivyo ndo maana haonekani ila majukumu yakiisha atarejea nadhani ni mwezi huu mwishoni
Inabidi tukubali nyakati hazirudi nyuma hivyo muda unaporuhusu kufurahi pamoja tuumie vizuri
.....
dongo langu hilo [emoji134] kwahyo unanishauri vipToo dangerous dating someone corward..
Tafuta mtu anaeweza kukulinda! A man of standings..dongo langu hilo [emoji134] kwahyo unanishauri vip
A man of one night standTafuta mtu anaeweza kukulinda! A man of standings..
Mambie mkuu bundi nipoAlioko macho aje tupige story
Nipo macho mkuu ww hulaliMbona upo kimya mkuu umekimbia?