Morning mkuuMorning wakuu!
Morning mke wangu Clkey...
Morning everybody...!
Morning mkuuMorning all kapuku
As ante sana kwa magazeti
Morning mkuuGoodmorning watu wa Mungu
Nawe pia
Pamojaa bhinamu Obe
Uko Poa mukongo ...mlivyofungwa na Ghana umerudilee Ahsante kwa magazeti jembe
Niko poa.....matokeo ya football hayo[emoji22]Uko Poa mukongo ...mlivyofungwa na Ghana umerudi
Af wewe[emoji7][emoji8]Werrason kuja hapa!🙂
Nipo mwalimu[emoji12] .....kumbe sipo[emoji134] [emoji124]Nawaulizia hawa watu kama wapo bado mi ndo naingia leo Jf baada ya kutosign in kwa muda mrefu kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kuna hawa watu...
1. Quigley
2. Bitoz
3. City boy
4. Shululu
5. Mussolin 5
6. Baily
7. Jimena
8. Amazing
9. Tetramycin
10. Mkwepa kodi a.k.a kitwanga
11. The book
13. Makaveli 10
Etc..
Missing you so much guys! popote mlipo much love Sweetiepie nimerudi tena
Missing you aisee!Af wewe[emoji7][emoji8]
Werrason mtoto mzuri...😉Nipo mwalimu[emoji12] .....kumbe sipo[emoji134] [emoji124]
Miss you sana.....mtoto hajambo?[emoji85]Missing you aisee!
Mtoto gani tena? mweeeMiss you sana.....mtoto hajambo?[emoji85]
Pole aiseeeh papaa mimi nipo na kimalaria kinasumbua ila shem wako Shunie mzima kabisaNiko poa.....matokeo ya football hayo[emoji22]