Makapuku Forum

uelewa wa misimu ndio nini

Mdau Shunie , misimu ni maneno/semi za muda na mahali maalum ambazo huzuka na kutoweka kutegemea mazingira maalum. Ni maneno ya kuzuka na kutoweka yanayotumiwa na baadhi ya watu Mara nyingi misimu huwa haidumu na ikitokea ikadumu basi huingia na kuwa misamiati.i
Mfano;
kihiyo
wowowo
demu
bitozi
 
Mmmmmmmh we si ulikua nondo kwenye utaimuu kipaa ?? Na uko tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…