Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Hahahaha kwannIrudishe Ile avatar ya mwanzo
Hahahaha kwannIrudishe Ile avatar ya mwanzo
Shemela uko poa?Mkamuungishe anataka kufungua duka la nguo la mamen n mabebez
uelewa wa misimu ndio nini
Humu humuanazunguka wapi
nipo poa shemelaShemela uko poa?
Niko poa msalimie BitozMzima kabisa, vp upande wako
KumbeeMdau Shunie , misimu ni maneno/semi za muda na mahali maalum ambazo huzuka na kutoweka kutegemea mazingira maalum. Ni maneno ya kuzuka na kutoweka yanayotumiwa na baadhi ya watu Mara nyingi misimu huwa haidumu na ikitokea ikadumu basi huingia na kuwa misamiati.i
Mfano;
kihiyo
wowowo
demu
bitozi
ZimefikaNiko poa msalimie Bitoz
Ooooooh....uko poa lakini cheupe wangu ??na yy atakua amekumiss
nipo poa hofu kwako unajua mm mweusi ukiniita cheupe daah leeOoooooh....uko poa lakini cheupe wangu ??
Mmmmmmmh we si ulikua nondo kwenye utaimuu kipaa ?? Na uko tenaMdau Shunie , misimu ni maneno/semi za muda na mahali maalum ambazo huzuka na kutoweka kutegemea mazingira maalum. Ni maneno ya kuzuka na kutoweka yanayotumiwa na baadhi ya watu Mara nyingi misimu huwa haidumu na ikitokea ikadumu basi huingia na kuwa misamiati.i
Mfano;
kihiyo
wowowo
demu
bitozi
In addition ....![]()
[/QU![]()
Asante sana mdau lee empire naona leo umeamua kuyatenga ya ung'eng'e na kiswahili.
Kazi nzuri vichwa vya habari kwa kiswahili, picha nimeangalia za magazeti haya ya lugha yao
Ahaaaaaaah wewe ndo cheupe wangu hakuna cha mweusi wala nininipo poa hofu kwako unajua mm mweusi ukiniita cheupe daah lee
...kengele haina lugha, yenyewe utasikia tu ding dong ding , wa kuwahi bajia wanajijuaMmmmmmmh we si ulikua nondo kwenye utaimuu kipaa ?? Na uko tena
sasa mm mweusi leeAhaaaaaaah wewe ndo cheupe wangu hakuna cha mweusi wala nini
hahahhh...kengele haina lugha, yenyewe utasikia tu ding dong ding , wa kuwahi bajia wanajijua