[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kanisa lapiga marufuku ndoa wanawake waliozaa.

Kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limepiga marufuku kuanzia sasa ufungishaji ndoa madhabahuni kwa wanawake waliozaa.

Aidha kanisa hilo ambalo ni moja ya makanisa mawili makubwa zaidi Nchini limepiga marufuku pia wanawake wenye ujauzito kufunga ndoa madhabahuni kwa maelezo kwamba kufanya hivyo ni kukiuka maandiko ya Mungu.

Kutokana na uamuzi huo wa Kanisa, kuanzia sasa wanawake wenye sifa hizo hawataruhusiwa kukaa mbele madhabahuni na kufunga ndoa wakiwa wamevaa shela.

Badala yake, imeelezwa ndoa zinazohusu maharusi wanawake wa namna hiyo zitafungwa katikati ya ibada ya kawaida Wakiwa wamekaa na waumini wengine.

Imekuwa kawaida sasa kuona wanawake wenye ujauzito au walishazaa watoto baada ya kuishi na wanaume kinyumba au wakiwa wajawazito wakifunga ndoa madhabahuni.

Kwa mujibu wa tangazo wa tangazo lililosomwa kwenye sharika mbalimbali za KKKT hivi karibuni ni marufuku Wachungaji kufungisha ndoa za aina hiyo.
Mkuuuuuuuuuuuuuu [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nipo kaka, kwema?Briz upo!
Asante mkuu na wewe pia ila pole na majukumu ,tunashushuru sana kwa kutukumbukaNiwatakie Heri ya Mwaka Mpya wadau wote humu ndani(uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi) naamini sijachelewa sana
Majukumu yamezidi kunipoteza mwenzenu, huwa naibuka lakini kwa machale sana
Am really missing you fellaz..
QUIGLEY, Jimena, Bitoz, Bailly5, Mussolin5, Werrason, manuu, Patience123, amaizing, shululu, lizziebettie, Cobblepots, MANDELAA KIWELU, jonax, Makaveli10 & Sweetiepie, The book, Tetramylez, Papushikashi, MKWEPA KODI, SHIMBA YA BUYENZE, jerrysonkiria, shushushu VIP, radika, Shemtibuko, Ollachuga Oc, radika, lothrito, sacajo na wengine wote
Ooops! bila kuwasahau wanaolisongesha kwa sasa
lee empire, Transcend, Salaniatz, Obe, Shunie, ukhuty, Queen Kan, Clkey na wengine wooote!
Pamoja sana..
Mwana mpotevu upo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu briz heri ya mwaka mpyaNipo kaka, kwema?
Asante briz, nawe pia, hongera kwa kazi, karibu makapuku ukiwa free, tunakumis sana ankaliNiwatakie Heri ya Mwaka Mpya wadau wote humu ndani(uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi) naamini sijachelewa sana
Majukumu yamezidi kunipoteza mwenzenu, huwa naibuka lakini kwa machale sana
Am really missing you fellaz..
QUIGLEY, Jimena, Bitoz, Bailly5, Mussolin5, Werrason, manuu, Patience123, amaizing, shululu, lizziebettie, Cobblepots, MANDELAA KIWELU, jonax, Makaveli10 & Sweetiepie, The book, Tetramylez, Papushikashi, MKWEPA KODI, SHIMBA YA BUYENZE, jerrysonkiria, shushushu VIP, radika, Shemtibuko, Ollachuga Oc, radika, lothrito, sacajo na wengine wote
Ooops! bila kuwasahau wanaolisongesha kwa sasa
lee empire, Transcend, Salaniatz, Obe, Shunie, ukhuty, Queen Kan, Clkey na wengine wooote!
Pamoja sana..
Heri ya mwaka 2017 briz na ndo kwanza JanuaryNiwatakie Heri ya Mwaka Mpya wadau wote humu ndani(uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi) naamini sijachelewa sana
Majukumu yamezidi kunipoteza mwenzenu, huwa naibuka lakini kwa machale sana
Am really missing you fellaz..
QUIGLEY, Jimena, Bitoz, Bailly5, Mussolin5, Werrason, manuu, Patience123, amaizing, shululu, lizziebettie, Cobblepots, MANDELAA KIWELU, jonax, Makaveli10 & Sweetiepie, The book, Tetramylez, Papushikashi, MKWEPA KODI, SHIMBA YA BUYENZE, jerrysonkiria, shushushu VIP, radika, Shemtibuko, Ollachuga Oc, radika, lothrito, sacajo na wengine wote
Ooops! bila kuwasahau wanaolisongesha kwa sasa
lee empire, Transcend, Salaniatz, Obe, Shunie, ukhuty, Queen Kan, Clkey na wengine wooote!
Pamoja sana..
Na wiki ijayo bado ni January
Haina nomaNiwatakie Heri ya Mwaka Mpya wadau wote humu ndani(uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi) naamini sijachelewa sana
Majukumu yamezidi kunipoteza mwenzenu, huwa naibuka lakini kwa machale sana
Am really missing you fellaz..
QUIGLEY, Jimena, Bitoz, Bailly5, Mussolin5, Werrason, manuu, Patience123, amaizing, shululu, lizziebettie, Cobblepots, MANDELAA KIWELU, jonax, Makaveli10 & Sweetiepie, The book, Tetramylez, Papushikashi, MKWEPA KODI, SHIMBA YA BUYENZE, jerrysonkiria, shushushu VIP, radika, Shemtibuko, Ollachuga Oc, radika, lothrito, sacajo na wengine wote
Ooops! bila kuwasahau wanaolisongesha kwa sasa
lee empire, Transcend, Salaniatz, Obe, Shunie, ukhuty, Queen Kan, Clkey na wengine wooote!
Pamoja sana..
Ina fanya kaziSwali
Hivi akaunti ya insta ya yule dada Mnyaki mvaa machupi makubwakubwa muuza supu imeblockiwa?

Mimi nilifikiri ya yule anayekaa kwa trumpJaribu kusearch

Kwani yule ni Mnyaki? Anavaaga michupi mikubwamikubwa km pazia za Yutong?Mimi nilifikiri ya yule anayekaa kwa trump