Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Alikuwa mnyama
![]()
![]()
![]()
.......
alikuwa anachezea timu gani?
Alikuwa mnyama
![]()
![]()
![]()
.......
Ac Milanalikuwa anachezea timu gani?
Elimu ni nini? Kwa nini huyo mwenye ng'ombe moja kwa moja anachukuliwa kuwa hajaelimika? Hapa ndipo mzungu huwa namvulia kofia. Alipofika na kutukuta sehemu nyingi hatuna mashule basi akatubatiza kuwa tulikuwa wajinga tunaoishi gizani nasi tukamuamini. Wakati huo huo unakuta mzee anajua mimea zaidi ya 2,000 na matumizi yake kitiba tena bila daftari. Huyu kweli naye hajaelimika? Na kuanzia hapo Waafrika ikawa down hill kuelekea kwenye utumwa wa kisaikolojia!
Pamoja sana mkuulee aksante kwa mazageti jembe langu
Bitoz umekula perege ???Ac Milan
............
Bitoz umekula perege ???
![]()
Now nipo kwenye nyama choma Iringa
![]()
![]()
![]()
......
wewe kibokoooo na mukausho huo unatumiaga??Hivi njaa haijaisha tu humu?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wewe kibokoooo na mukausho huo unatumiaga??
Ahaaaaaaaah njaaa kwa kapuku kawaida mb za magumashiHivi njaa haijausha tu humu?
Kuna uhaba mkubwa replies
![]()
![]()
![]()
........
...mbona sioni kikopo cha ulanzi bheeeeee![]()
Now nipo kwenye nyama choma Iringa
![]()
![]()
![]()
......
Imetumwa mkuu kapukuAzam hoyee
Duuuuuuuuuh chuo hammalizii??Tunajiunga kifurushi cha chuo lee empire
Duuuuuuuuuh chuo hammalizii??
Azam hoyee