Wachina walianzia mapinduzi yao kwenye agri business. Vyerehani na vimitambo vya SIDO kwenye kilimo. Pole pole wakajikongoja na leo wako mbali. Hata sisi inabidi tuanzie huko. Inaumiza moyo kuona kuwa mpaka leo wakulima wetu bado wanatumia jembe la mkono. Halafu tuna ndoto ya kuwa taifa la viwanda. Maajabu kabisa!