Makapuku Forum

Michezo na burudani ,kilichompata mtani tuwaachie wenyewe mapinduzi cup ,wanasema hakuna kuremba

Team bora bidhaa bora.... Yule sure boy Yule sijui ndio kufufuka au ndio kuweka kama mvinyo.... najiuliza tu hivi ni zile falsafa za waspain zimeanza kufanya kazi au ni falsafa za Cheche......?

Nadhani zile Azam Malta za msuva zimewalewesha Yanga..... Haswaa yule Zulu. Maana umeme ulikatika kuanzia kwenye kiungo cha Yanga kurudi nyuma.....
 
ATM zingine bomu sana. Eti inakuuliza kama unataka ku-prosiidi hata kama hakuna mahali pa kwenda. Muwe na siku njema Makapuku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…