Amen.....the Same to you mkuuHeri ya mwaka mpya 2017 Makapuku wenzangu.
Huu uwe mwaka wa mafanikio kwetu
Uwe mwaka wa wenye amani! Familia zetu ziishe kwa amani
Mwezi Dec 2017 tuje hapa Kumshukuru Mungu...
[emoji120]Ahsante sana mkuu, uwe na heri na fanaka zote katika mwaka huu mpya wa 2017.
[emoji23] [emoji23] [emoji124]*ZIMEBAKIA SIKU 367 KUMALIZA MWAKA WA 2017.. KARIBU 2018* akili zangu nazijua mwenyewe !
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji111][emoji28]
Achana nao wa majungu, hapa ndio mahali hamna ubaguzi, Karibunimeelekezwa nije uku mimi nimejiunga leo
Papaa uko Poa ?? Mwaka mpya ukoje?Achana nao wa majungu, hapa ndio mahali hamna ubaguzi, Karibu
Kama Uhuru vile!
Duh!!![emoji15] [emoji3] [emoji39]Sikukuu huwa tamu sana huwezi kushinda njaa labda uamue tu mwenye.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbombo jilipo nkamu gwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
... .
Niko poa Lee, mwaka nautabiria mafanikio makuubwa kwangu[emoji12]Papaa uko Poa ?? Mwaka mpya ukoje?
Man city mtu wa tatu kanishinda point tatu au huonUmeshinda mechi ngapi na bado upo wapi?
Vyema mkuu tuombe mungu utakua wenye neema japo......Niko poa Lee, mwaka nautabiria makuu kwangu[emoji12]
mchezaj wa Jang'ombe[emoji23] [emoji23]Sio Kwa kitambi hicho aisee.
Mtajuana bandugu mimu kileleniiiiiMan city mtu wa tatu kanishinda point tatu au huon
Uhuru jina au uhuru wa nchi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama Uhuru vile!
Kila rakher una kombe moja dats yMtajuana bandugu mimu kileleniiiii
Ahaaaaaahmchezaj wa Jang'ombe[emoji23] [emoji23]
Huu mwaka una rangi ganiNiko poa Lee, mwaka nautabiria mafanikio makuubwa kwangu[emoji12]
Tunapigwa mawe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii thread inawauma sana wakongwe mbona Wakongwe Forum hatuwasakami?
Mti wenye matunda........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Mkushi uko poa ?? Mwaka mpya hope umeuanza vyema..Kila rakher una kombe moja dats y
chapombe