Mi naitumia now baada ya vibaka kuniibia niliyokuwa "natambia" hapa kumwaga lori la mapicha now nimekuwa mpole ndo sababu sipostpost pichaMajanga sana Hii simu
Mi naitumia now baada ya vibaka kuniibia niliyokuwa "natambia" hapa kumwaga lori la mapicha now nimekuwa mpole ndo sababu sipostpost picha
SD card and internal storage use the same disk.....ht uweke memory card ya GB 32 ukipiga picha 50 tu majanga
.....
Noma na haikubali kudefault internal storage to SD Cardmwakani nitatafuta simu nyingine aisee. Hii simu ni headache sana. Inajaa haraka basi vurugu tu
Nakupendajeeha ha
Noma na haikubali kudefault internal storage to SD Card
Mi nina miezi km mi3 tu nimeichoka nilijaribu hadi kuiflash lakini hollah
Tatizo haliishi
Kila siku kudelete picha km blackboard
...........
Tupo Makapuku tunaojuana na tunawasiliana nje ya JF na ht tupo tuliokutana face to faceYani natamani siku moja nikutane na wana jf face to face 2badilishane mawazo pamoja na story mbalimbali ....Natamani itokeee
ila mkuu sijawahi mtafuta yeyote .......ndo mara ya kwanza kuulizaTupo Makapuku tunaojuana na tunawasiliana nje ya JF na ht tupo tuliokutana face to face
Hii ni kwa ambao wanaheshimu privacy za watu na ht tukipeana # huwa hatutoi kwa wengine .........ukiona huna mtu unayefahamiana naye nje ya Jf ujue hujampata wa kukuamini
...............
Kwangu noma maana mambo ya simu nayamudu sana tu ila hii simu janga sana......we mwenyewe umesema "mara nyingine" na siyo " mara zote"ila kwangu muda mwingine inakubali
ha ha sio mm itakua wamenifananishaNasikia xmas ulionekana mahali ukiwa unakimbia na glass ya wine mkononi ila watonyaji wa habari hiyo hawakunimalizia ubuyu kuwa ulikuwa unawahi wapi!!
nakupenda piaNakupendajee
Jaman mbona wanapenda kukusingizia mamboha ha sio mm itakua wamenifananisha
Hata hivyo memory card imejaa Hii. Ngoja nitafute nyingineKwangu noma maana mambo ya simu nayamudu sana tu ila hii simu janga sana......we mwenyewe umesema "mara nyingine" na siyo " mara zote"
...........
Siyo kumtafuta mtu....ukizoeana na mtu hapa Jf mnakuwa marafiki(urafiki huwa na sababu hautokei tu) baada ya hapo ndo mnatafutanaila mkuu sijawahi mtafuta yeyote .......ndo mara ya kwanza kuuliza
asanteee kwa kusikia hyonakupenda pia
pw pwSiyo kumtafuta mtu....ukizoeana na mtu hapa Jf mnakuwa marafiki(urafiki huwa na sababu hautokei tu) baada ya hapo ndo mnatafutana
Binafsi sizoeani ovyoovyo tu na watu hivyo wanaonifahamu ni wachache tu hawazidi wa5 na wote ni kwa sababu maalum
.......
Katafute halafu iendeleze magumashiHata hivyo memory card imejaa Hii. Ngoja nitafute nyingine
Nimebadilisha now na imekubaliKatafute halafu iendeleze magumashi
..........
Kudefault?Nimebadilisha now na imekubali