Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Wakuu makapuku nimetoa uzi nawashukuru wote tuliokuwa pamoja January to Decembers
Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!
.........
Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!
.........
Busy sana..salama ndugu,watu mpo kimya sna
PamojaaWakuu makapuku nimetoa uzi nawashukuru wote tuliokuwa pamoja January to Decembers
Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!
.........
Kazeeka sana aisee![]()
Jamani kamanda Sajo kaja
![]()
![]()
![]()
![]()
....
Pamojaaa mkuuu ...japo wengine hatujafikisha mwaka makapuku wenzangu wanaonesha love ya kutosha ..Wakuu makapuku nimetoa uzi nawashukuru wote tuliokuwa pamoja January to Decembers
Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!
.........
Peace and love...Long live makapuku
Mzee wa kubadilika niajeeePeace and love...
Niko poa mkuu...sijabadilikaa sema iyo Id kuna njemba inaitumia fb na anapost utumbo ..niliwaomba kitambo wanichangiee bt sikufanikiwaMzee wa kubadilika niajeee
Poa poa kapukuNiko poa mkuu...sijabadilikaa sema iyo Id kuna njemba inaitumia fb na anapost utumbo ..niliwaomba kitambo wanichangiee bt sikufanikiwa
Hapa ndo ukumbi ambao watu wanachati kirafiki bila mizinguo maana trouble za JF noma sanaPamojaaa mkuuu ...japo wengine hatujafikisha mwaka makapuku wenzangu wanaonesha love ya kutosha ..
Kwelii kwa miezii hii mitatu naona maupendo amaizing ...sema nimemis mukongo leoHapa ndo ukumbi ambao watu wanachati kirafiki bila mizinguo maana trouble za JF noma sana
......
Nipo mkuu John aka wa jina...karibu uku ndo penyeweee
Ukoo mmoja.. Baba yetu John pombe.Una undugu na Faru John?
![]()
![]()
![]()
.......