Cha ajabu hawataki kuiachia nafasi ya 6,kumbe ni kuipa heshima jezi ya pogba [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hongereni kwa kumpiga Spurs, wazee wa kubet leo watakuwa wametukana sana[emoji1]
Tupo
Tupo poa kabisa[emoji124][emoji124][emoji124] za mchana makapuku
Family yangu
Maajabu ya nchi yetu hayoNyie wahamiaji haramu itabidi muuawe ,muwekwe kwenye viroba na kufungwa mawe zen mtupwe mtoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Nzuri tu maskini mwenzentuNyie maskini habari zenu.
Ganda la ndizi!!!Ha ha jamaa anapenda mtelezo eh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji4]Kumekuchaaa salama wakùu...
Uko Milembe???[emoji15]Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chake
Una utani na Musso!!![emoji1]Cha ajabu hawataki kuiachia nafasi ya 6,kumbe ni kuipa heshima jezi ya pogba [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Poa asee Jerry[emoji124][emoji124][emoji124] za mchana makapuku
Family yangu
Hata mzawa unaweza kuchukuliwa kuwa mhamiaji haramu ukajikuta kwenye kiroba chini ya mto ukiliwa na mamba. Ni hatari sana. Yaani utafikiri hao wahamiaji haramu siyo binadamu wanaostahili kuzikwa kwa heshima ya kibinadamu. Halafu Trump anataka kujenga ukuta kuzuia wahamiaji haramu dunia nzima inampigia makelele. Sisi tunaotia kwenye viroba je?Nyie wahamiaji haramu itabidi muuawe ,muwekwe kwenye viroba na kufungwa mawe zen mtupwe mtoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Sawa mpiga diliNyie maskini habari zenu.
Bongoland everything is PolifixMaajabu ya nchi yetu hayo
teh teh teh... ila tabia yenu sikuipenda. mnaniita me mzee wa kitongaSawa mpiga dili
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
Wahamiaji haramu wanauwawa vipi umejiandikisha uhamiaji mutu ya kongoPoa asee Jerry
Unaseleleka tuuuteh teh teh... ila tabia yenu sikuipenda. mnaniita me mzee wa kitonga