Makapuku Forum

Asante sana kwa leo katika historia bora kabisa na wewe pia siku njema mkuu mussolin
 
Mmesikia ajali huko Colombia ndege tenye abiria 81 wakiwepo wacheAji wa klabu fulani ta Brazil imeanguka na waliopona ni 6 tu

Mchezaji aliyenuaurika ni mmoja tu ambayo ni beki

Man Utd iliwahi kupatwa na balaa km hilo
......
Very sad yaan.. Halaf walikuwa wanaenda kwrnye game ya failnali ya copa sudamerica.. Kipa kafia hospital.. Wachezaj watatu walikuwa wameachwa home..
 
Very sad yaan.. Halaf walikuwa wanaenda kwrnye game ya failnali ya copa sudamerica.. Kipa kafia hospital.. Wachezaj watatu walikuwa wameachwa home..
Timu pinzani ishaomba marehemu wapewe kombe kwa akili ya kuwaenzi
Wamekufa wachezaji 22
Ambao hawakusafiri ni wa3 tu
Kwenye ajali kanusurika m1 sijui wa2

Timu za Brazil zimekubaliana kuwapa wachezaji bure
......
 
Duh!! Lineker katisha hapa
 
Dah!! So sad!! Wish u all the best, tunaheshim maamuz yako kama vile ulivyotuheshimu na kutuonesha upendo ndani ya muda wote huu..

Much respect kwako kaka..
 
Timu pinzani ishaomba marehemu wapewe kombe kwa akili ya kuwaenzi
Wamekufa wachezaji 22
Ambao hawakusafiri ni wa3 tu
Kwenye ajali kanusurika m1 sijui wa2

Timu za Brazil zimekubaliana kuwapa wachezaji bure
......
Nimependa uungwana wa wapinzan, jana wakat nasoma habar ya kuwapa kombe imeonesha ni jinsi gani wenzetu walivyokuwa kisoka zaid.. Sidhan km ingetokea kwetu ingekuwa hv..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…