Imebaki utata. Hata Brandon Lee ambaye ni mwanae wa kumzaa alipoenda Hong Kong kuchunguza kifo cha baba yake aliporudi alikufa kwa kupigwa risasi wakati wanaekti muvi ya The Crow.
Hivyo alikufa na siri yake moyoni maana hakuwahi kuweka wazi uchunguzi wake huo alioufanya.