Makapuku Forum

2011 - Gary Speed anafariki Dunia.

Alijinyonga baada ya kuandamwa na kashfa za Ushoga.

Mpaka mauti yanamfika alikuwa ni kocha wa timu ya taifa ya Wales.

Enzi zake za uchezaji alitamba sana na klabu ya Newcastle United.
Daah! Haka karoho ka ku-commit suicide kwanini kasiwaingia na wachezaji wengine wa EPL manake kuna story zilikuwa zina trend jana kuwa watavaa ribbon za kusupport LGBT
 
Imebaki utata. Hata Brandon Lee ambaye ni mwanae wa kumzaa alipoenda Hong Kong kuchunguza kifo cha baba yake aliporudi alikufa kwa kupigwa risasi wakati wanaekti muvi ya The Crow.

Hivyo alikufa na siri yake moyoni maana hakuwahi kuweka wazi uchunguzi wake huo alioufanya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…