Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
1963 - Lee Harvey Oswald anauwawa kwa kupigwa risasi.
Oswald anashukiwa kumuua Rais John F. Kennedy.
Leo Katika Historia:
1932 - FBI yafungua maabara yake ijulikanayo kama " FBI Crime Lab "
1971 - Mtu aliyefahamika kama D.B. Cooper anateka ndegeya Northwest Airlines huko Marekani na kulazimisha kupewa kiasi cha Dola laki 200,000 kisha akaruka na parashuti kutoka angani.
D.B.Cooper hakuwahi kupatikana tena wala pesa alizoiba hazikuwahi kupatikana hata kwenye mzunguko wa pesa.
Licha ya msako mkali uliochukua takribani miaka 45, bado D.B.Cooper hajaonekana na wala hajulikani alipo.
1994 - Nabil Bentaleb anazaliwa.
Ni kiungo mkabaji wa Schalke 04 aliyepo kwa mkopo kutoka Tottenham Hotspur.
Pia huchezea timu ya taifa ya Algeria.
1983 - Dean Ashton anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa West Ham na timu ya taifa ya Uingereza.
Alistaafu soka akiwa na miaka 26 kutokana na matatizo ya goti.
Alichukuliwa kama Straika mwenye uwezo sana ambaye angekuja kuisaida England siku za usoni lakini majeraha sugu ya goti yakahitimisha kipaji chake.
1982 - Barack Obama Sr. anafariki Dunia.
Alikuwa ni baba wa Rais wa sasa wa Marekani Barack Obama.
Naona hakuna maswali.....km vipi baadaye kamandaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie siku njema.
Pamoja mkuuNaona hakuna maswali.....km vipi baadaye kamanda
...........
Nenda GoogleDefinition ya neno "makapuku" tafadhali kabla sijatoa povu langu hapa??
Nenda Google
Usituletee mikwara mbuzi
.........
Kweli makapuku 🙂Nenda Google
Usituletee mikwara mbuzi
.........
Morning Mr. QuigleyMorning all
1971 - Mtu aliyefahamika kama D.B. Cooper anateka ndegeya Northwest Airlines huko Marekani na kulazimisha kupewa kiasi cha Dola laki 200,000 kisha akaruka na parashuti kutoka angani.
D.B.Cooper hakuwahi kupatikana tena wala pesa alizoiba hazikuwahi kupatikana hata kwenye mzunguko wa pesa.
Licha ya msako mkali uliochukua takribani miaka 45, bado D.B.Cooper hajaonekana na wala hajulikani alipo.
Thanks Musso, ubarikiweLeo Katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie siku njema.
Ahsante kwa mazageti Mr.