1971 - Mtu aliyefahamika kama D.B. Cooper anateka ndegeya Northwest Airlines huko Marekani na kulazimisha kupewa kiasi cha Dola laki 200,000 kisha akaruka na parashuti kutoka angani.
D.B.Cooper hakuwahi kupatikana tena wala pesa alizoiba hazikuwahi kupatikana hata kwenye mzunguko wa pesa.
Licha ya msako mkali uliochukua takribani miaka 45, bado D.B.Cooper hajaonekana na wala hajulikani alipo.