Makapuku Forum

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€inabidi atembee kwa mguu hadi RuangwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Serikali ya sasa hizi inaboa ingekuwa timu ya mpira tungesema haina kocha wala kapteni wa timu .....yaani hakuna morali kabisa,mashabiki wanalazimishwa wanunue tiketi waingie uwanjan washangiliei wakati litimu lenyewe bovu linacheza rede tu uwanjani badala ya soka
......
 
Halafu uwanja hauna magoli,eti wanajisifia wanafunga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…