Alafu Ngedere Ungabu ndo anaongoza kwa dharau huyo jamaa, na in his little bright head anajua kuwa yy ni smart basi ndo midharau tu lafa sana yule yabo😡😡😡😡😡
Karibu kapuku, mimo ni Katibu kiongozi, Raisi wako ni Bitoz, vice ni jimena na prime minister ni th name, waziri wa urinzi ni ibra87. Wengine utawajua taratibu.....
Oyaaa
Kutokuwepo kwenye list hakuzuii mtu kuwepo hapa...muheshimu huyo ni miongoni mwa watu poa sana hapa Jf tafuta thread zake utagundua huwa hana dharau kwa KAPUKU yoyote
Think twice