1945 - Gerd Muller anazaliwa.
Ni staa wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.
Anafahamika kama " The Bomber of the Nation ".
Alitamba sana katika kombe la dunia la mwaka 1974 lililofanyika katika ardhi ya nyumbani na kutwaa ubingwa huo kando ya staa mwenzake Franz Backenbaeur " The kaiser ".