Makapuku Forum

1971 - Robert Mensah anafariki.

Ni golikipa wa zamani wa Asante Kotoko Kumasi na timu ya taifa ya Ghana.

Ni moja kati ya magolikipa bora kuwahi kutokea katika bara hili la Afrika. Alikuwa na mbwembwe nyingi sana uwanjani.

Alikuwa akipenda kuvaa kofia awapo uwanjani hali iliyompelekea wachezaji wa timu za upinzani kuhisi jamaa anatumia juju kwenye kofia hiyo.

Aliuwawa kizembe kwa kupenda kwake ukorofi awapo mtaani.

Juma Pondamali " Mensah " aliiga jina lake.
 
 
RIP
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…