briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Oct 31, 2016 #123,981 shululu said: Mbichi au? Click to expand... Mbichi ndio wako wanaochemsha lakini mi napenda mbichi
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Oct 31, 2016 #123,982 briz said: Duh hii nayo ni kali kabisa, ilikua ni soccer ama basketball? Click to expand... baseball
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Oct 31, 2016 #123,983 briz said: Mbichi ndio wako wanaochemsha lakini mi napenda mbichi Click to expand... Za kuchemsha ni tamu sana
briz said: Mbichi ndio wako wanaochemsha lakini mi napenda mbichi Click to expand... Za kuchemsha ni tamu sana
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Oct 31, 2016 #123,984 werrason said: utakuwa mfano wa kuigwa kama marehemu Fulikunjombe, Mungu am-R.I.P. Click to expand... Dah! wanaludewa hawawezi kulisahau hilo jembe
werrason said: utakuwa mfano wa kuigwa kama marehemu Fulikunjombe, Mungu am-R.I.P. Click to expand... Dah! wanaludewa hawawezi kulisahau hilo jembe
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Oct 31, 2016 #123,985 Mussolin5 said: baseball Click to expand... Dictator u mzima?
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Oct 31, 2016 #123,986 QUIGLEY said: Ikiwa nchi nzima hali ni tete huko ndo kabsaa Click to expand... Watu wafanye kazi tu
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,232 Reaction score 39,961 Oct 31, 2016 #123,987 Mussolin5 said: Alizidisha wizi na ubabe. Click to expand... Kwani alikuwa hanja? .....naskia utemi ndio ilikuwa sifa yake miksa pombe nadhani ndizo zimemgharimu!!!
Mussolin5 said: Alizidisha wizi na ubabe. Click to expand... Kwani alikuwa hanja? .....naskia utemi ndio ilikuwa sifa yake miksa pombe nadhani ndizo zimemgharimu!!!
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Oct 31, 2016 #123,988 shululu said: Za kuchemsha ni tamu sana Click to expand... Ni kweli lakini mbichi zinakua bado na nutrients kwa asilimia 100
shululu said: Za kuchemsha ni tamu sana Click to expand... Ni kweli lakini mbichi zinakua bado na nutrients kwa asilimia 100
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Oct 31, 2016 #123,989 Mussolin5 said: baseball Click to expand... Kama ni baseball ni sawa kabisa mana sidhani kama ni soccer yangefikia hapo
Mussolin5 said: baseball Click to expand... Kama ni baseball ni sawa kabisa mana sidhani kama ni soccer yangefikia hapo
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,232 Reaction score 39,961 Oct 31, 2016 #123,990 briz said: Mbichi ndio wako wanaochemsha lakini mi napenda mbichi Click to expand... Unaongeza Salio!!! .....atakoma
briz said: Mbichi ndio wako wanaochemsha lakini mi napenda mbichi Click to expand... Unaongeza Salio!!! .....atakoma
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Oct 31, 2016 #123,991 QUIGLEY said: Ikiwa nchi nzima hali ni tete huko ndo kabsaa Click to expand... Ndio hivyo mkuu watu hawaioni kabisa shilingi
QUIGLEY said: Ikiwa nchi nzima hali ni tete huko ndo kabsaa Click to expand... Ndio hivyo mkuu watu hawaioni kabisa shilingi
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Oct 31, 2016 #123,992 Mussolin5 said: Alizidisha wizi na ubabe. Click to expand... Hata mi naskia huyu jamaa alishakua anja sana
Mussolin5 said: Alizidisha wizi na ubabe. Click to expand... Hata mi naskia huyu jamaa alishakua anja sana
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Oct 31, 2016 #123,993 werrason said: Unaongeza Salio!!! .....atakoma Click to expand...
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Oct 31, 2016 #123,994 werrason said: Kwani alikuwa hanja? .....naskia utemi ndio ilikuwa sifa yake miksa pombe nadhani ndizo zimemgharimu!!! Click to expand... Jamaa alikuwa na kikundi chake cha watoto anawatuma kuiba. Yaani kwa kifupi ni mbabe sana aliyemiliki vikundi hatari kwa usalama wa raia. Japo kifo chake sijajua kimetokana na nini hasa lakini naamini Wizi umechangia kwa kiasi flani.
werrason said: Kwani alikuwa hanja? .....naskia utemi ndio ilikuwa sifa yake miksa pombe nadhani ndizo zimemgharimu!!! Click to expand... Jamaa alikuwa na kikundi chake cha watoto anawatuma kuiba. Yaani kwa kifupi ni mbabe sana aliyemiliki vikundi hatari kwa usalama wa raia. Japo kifo chake sijajua kimetokana na nini hasa lakini naamini Wizi umechangia kwa kiasi flani.
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Oct 31, 2016 #123,995 Mussolin5 said: Jamaa alikuwa na kikundi chake cha watoto anawatuma kuiba. Yaani kwa kifupi ni mbabe sana aliyemiliki vikundi hatari kwa usalama wa raia. Japo kifo chake sijajua kimetokana na nini hasa lakini naamini Wizi umechangia kwa kiasi flani. Click to expand... Basi alikuwa mtu wa hatari sana
Mussolin5 said: Jamaa alikuwa na kikundi chake cha watoto anawatuma kuiba. Yaani kwa kifupi ni mbabe sana aliyemiliki vikundi hatari kwa usalama wa raia. Japo kifo chake sijajua kimetokana na nini hasa lakini naamini Wizi umechangia kwa kiasi flani. Click to expand... Basi alikuwa mtu wa hatari sana
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Oct 31, 2016 #123,996
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Oct 31, 2016 #123,997 briz said: Salam yangu ya asubuhi na ikufikie madam JJ Click to expand... Nimeipokea kwa mikono miwili
briz said: Salam yangu ya asubuhi na ikufikie madam JJ Click to expand... Nimeipokea kwa mikono miwili
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Oct 31, 2016 #123,998 QUIGLEY said: Asante Click to expand... Pamoja sana
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Oct 31, 2016 #123,999 Mussolin5 said: 1973 - Wafungwa watatu watoroka gereza la Mountjoy Prison kwa kutumia Helikopta huko nchini Ireland. Moja kati ya mikasa ya kusisimua iliyotokea miaka ya 70. Click to expand... Sasa jamani hiyo helikopta waliipata wapi?
Mussolin5 said: 1973 - Wafungwa watatu watoroka gereza la Mountjoy Prison kwa kutumia Helikopta huko nchini Ireland. Moja kati ya mikasa ya kusisimua iliyotokea miaka ya 70. Click to expand... Sasa jamani hiyo helikopta waliipata wapi?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Oct 31, 2016 #124,000 Jimena said: Pamoja sana Click to expand...