Nawafahamu kwa ukarimu wao, ingekuwa kipindi cha mavuno, wangekuwa wanakuletea karanga, viazi ni wakarimu sanaMorning ankali, wapangwa ni watu poa sana nipo nasaidiana nao shughuli flani ya kijamii hapa kijijini wakati huu
Ni wabahili kiasiNawafahamu kwa ukarimu wao, ingekuwa kipindi cha mavuno, wangekuwa wanakuletea karanga, viazi ni wakarimu sana
Mithi u sana papaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Clouds wanasema Kina Mashali walikuwa wanapiga Tungi maeneo ya Kimara, basi Mashali akatoka kutembeatembea huko ndiko akazinguana na mtu, huyo akamwitia mwizi!!!
Maana kila posti kyupi[emoji125]Kidogo, Wewe huzipendi??
Hahah, keyboard ya simu inatatizo kidogo, inajitype yenyewe vitu ambavyo sivitakiMaana kila posti kyupi[emoji125]
Bwahahahahahaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahah, keyboard ya simu inatatizo kidogo, inajitype yenyewe vitu ambavyo sivitaki
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] huwa nacheka sana bablaiSawa mheshimiwa waziri
Nipo mkubwa wangu, Bwana Yesu asifiwe.Mithi u sana papaa
Karanga bado zipo sanaNawafahamu kwa ukarimu wao, ingekuwa kipindi cha mavuno, wangekuwa wanakuletea karanga, viazi ni wakarimu sana
Itakuwepo tu[emoji1] hii niliisikia!!! Hivi hili halijaingia kwenye Guinness book of Record?
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah!!!
Nilikuwa nikisikia watu wakisifu Oman,Oman.
Sasa ndio kwanza ninawasili kwenye nyumba ya familia ya Bosi wangu,Mjini Muscat.Nilijisikia furaha sana Kwa ukaribisho wa shangwe toka kwa watoto wa Bosi.
Watoto walikuwa wakiniimbia kwa Kiarabu.
"Himaru Jadeed”[emoji248]
“Himaru Jadeed”[emoji122]
“Himaru Jadeed[emoji119]
Nilijisikia furaha mno,Nami nikajiunga nao na Kudansi[emoji126] [emoji133][emoji124]
Baada ya miezi michache na jinsi siku zinavyosonga mbele nilijifunza Kiarabu.Nilipatwa na Mfadhaiko baada ya kujua kwamba
“Himaru Jadeed”
Maana yake ni Punda Mpya
[emoji134] [emoji134] Duh ! ! !
Hakuna namna we piga kazi tuDah!!!
Nilikuwa nikisikia watu wakisifu Oman,Oman.
Sasa ndio kwanza ninawasili kwenye nyumba ya familia ya Bosi wangu,Mjini Muscat.Nilijisikia furaha sana Kwa ukaribisho wa shangwe toka kwa watoto wa Bosi.
Watoto walikuwa wakiniimbia kwa Kiarabu.
"Himaru Jadeed”[emoji248]
“Himaru Jadeed”[emoji122]
“Himaru Jadeed[emoji119]
Nilijisikia furaha mno,Nami nikajiunga nao na Kudansi[emoji126] [emoji133][emoji124]
Baada ya miezi michache na jinsi siku zinavyosonga mbele nilijifunza Kiarabu.Nilipatwa na Mfadhaiko baada ya kujua kwamba
“Himaru Jadeed”
Maana yake ni Punda Mpya
[emoji134] [emoji134] Duh ! ! !
[emoji111] utakuwa mfano wa kuigwa kama marehemu Fulikunjombe, Mungu am-R.I.P.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] huwa nacheka sana bablai
Hakuna mzunguko wa hela huku mkuu hata kilimo watu wanalimia chakula tuNi wabahili kiasi
Mbichi au?Karanga bado zipo sana
Leo ni siku yaoBirthday ya wanasoka leo!!!
Alizidisha wizi na ubabe.Breaking Newz
Bondia Thomas Mashali amefariki baada ya kuitwa mwizi na kupigwa mapanga.
Ikiwa nchi nzima hali ni tete huko ndo kabsaaHakuna mzunguko wa hela huku mkuu hata kilimo watu wanalimia chakula tu