Salam yangu ya asubuhi na ikufikie madam JJView attachment 426938View attachment 426939View attachment 426940
Kwa udhamini mnono toka kwa Dar es salaam Young African sina la zaidi kutoka katika magazeti.
Naitwa Jimena Jimenes nawatakia wiki njema yenye mafanikio tele
Ciao
1964 - Marco Van Basten anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Ajax, Ac Milan na timu ya taifa ya Uholanzi.
Alistaafu soka mapema kutokana na majeruhi ya goti.
Unapenda nionio weweeh???Labda wa
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Shululu anko ake na JJ niwatakie siku njema.
Powa ShululuMukongo mambo
Morning ankali, wapangwa ni watu poa sana nipo nasaidiana nao shughuli flani ya kijamii hapa kijijini wakati huuMorning briz, wapangwa wazima huko
Duh hii nayo ni kali kabisa, ilikua ni soccer ama basketball?2002 - Timu ya As Adema yashinda mabao 142-0 dhidi ya So Emyrne katika mechi ya ligi huko Madagascar.
Katika mechi hiyo, timu ya So Emyrne ilijifunga magoli yote kwa kumkataa refa.
Mrng papaaMorning guys
Sawa mheshimiwa waziriMorning ankali, wapangwa ni watu poa sana nipo nasaidiana nao shughuli flani ya kijamii hapa kijijini wakati huu
RIP mashali, kuna uwezekano ile sura yake nayo ikawa imechangia maana...Breaking Newz
Bondia Thomas Mashali amefariki baada ya kuitwa mwizi na kupigwa mapanga.
1965 - Denis Irwin anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Man Utd na Timu ya taifa ya Ireland.
Beki wa kushoto aliyekuwa anaweza kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha.
Pia alikuwa ni mtaalam wa mipira iliyokufa.
1976 - Guti anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania.
Dogo, wewe mukongoKumbe dogo hivi!
Wapi huko? Aisee binadamu sisi ni matatizo sanaBreaking Newz
Bondia Thomas Mashali amefariki baada ya kuitwa mwizi na kupigwa mapanga.
Hao Jamaa walikuwa hatari sana enzi zao
Anapenda sana huyoUnapenda nionio weweeh???
Breaking Newz
Bondia Thomas Mashali amefariki baada ya kuitwa mwizi na kupigwa mapanga.
Kidogo, Wewe huzipendi??Unapenda nionio weweeh???