Makapuku Forum

1979 - Simao Sabrosa anazaliwa.

Mwanasoka wa zamani wa Ureno.
Birthday ya wanasoka leo!!!
1976 - Guti anazaliwa.

Ni mwanasoka wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania.

1963 - Dunga anazaliwa.

Mchezaji na kocha wa zamani wa Brazil.

1964 - Marco Van Basten anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Ajax, Ac Milan na timu ya taifa ya Uholanzi.

Alistaafu soka mapema kutokana na majeruhi ya goti.

1965 - Denis Irwin anazaliwa.

Ni mwanasoka wa zamani wa Man Utd na Timu ya taifa ya Ireland.

Beki wa kushoto aliyekuwa anaweza kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha.

Pia alikuwa ni mtaalam wa mipira iliyokufa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…