Makapuku Forum

Kesho nakuwa mod nitakuja huku nakuifungia makapuku forum. Na wote nawapiga ban.
Namchukua jimena(selfie)
mkuu ifungekabisaa utakua umewaokoa sana kwani inaonekana wako kinyonge mno!
Na hapo watakuja kujichanganya waliko wengine na watajifunza kustruggle nao wawin.

Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…