Nafikiria tu alivyovuka vihunzi vya ubaguziLeo katika Historia:
1954 - Benjamin O. Davis anakuwa Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwa Jenerali katika Jeshi la Ulinzi la Anga la Marekani.
Naona Maurinho kafuraaahi mwenyewe!
Leo katika Historia:
1954 - Benjamin O. Davis anakuwa Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwa Jenerali katika Jeshi la Ulinzi la Anga la Marekani.
Unafanya nini huko au na wewe ni team bombadier![emoji1]NIPO SIASANI...
Wamefanya nini...[emoji276]YANGA bwana.
Tena ajuzaSimba bibi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Morning shululuMorning all kapuku
Man4ngo bado kidogo wakutane na Chelsea
[emoji15] [emoji15] upo wewe bibie???Morning jirani yangu...
Hii inaweza ikawa ni post ya jana ila ni muhimu ngoja niijibu tu. Mimi Hapana sijawahi kutongozwa na makaveli10 wala hata PM hajaingia.[emoji15] [emoji15] [emoji15] Duh!! Nitake radhi bhana..
Jimena,cwtp, patience 123 etc.. Mukuye huku kutoa ushahid eti iko mimi tongoza nyinyi!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
1962 - Meja Rudolf Anderson wa Jeshi ka Marekani anauwawa baada ndege aliyokuwa anaendesha kutunguliwa na makombora ya kirusi huko Cuba katika Mgogoro uliojulikana kama " Cuban Missile Crisis. "
Bonjour mutu ya CongoMorning guys
Niko salama sana dadaTumeamka salama salmini kwakweli....wewe je?
Afande Sacajo upo? aisee long time no read you[emoji4]Morning shululu
Nipo ndo nashangaa hapa...sijakuona kitambo humu afande![emoji15] [emoji15] upo wewe bibie???
Bonjour AfwandeBonjour mutu ya Congo
1971 - Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yabadilishwa jina na kuanza kutambulika kama Zaire.
Chini ya Utawala wa Dikteta, Mobutu Sesseseko ilitambulishwa sera ya Africanization ya kubadilisha majina ya kizungu kwenda majina ya kiasili.
Nipooo......we ulipotelea wapii???Afande Sacajo upo? aisee long time no read you[emoji4]