Josee anatakiwa kubeba lawama za wazza1985 - Wayne Rooney anazaliwa.
Ni staa wa Man Utd na timu ya taifa ya England. Anajulikana kama " Wazza " akifananishwa na kiungo matata wa enzi hizo Paul Gascoine " Gazza ". Ni shabiki mkubwa wa Everton.
Ni moja kati ya wachezaji wa Kiingereza aliyekuwa na kiwango kikubwa katika enzi zake.
Ameshinda kila taji kwa level ya klabu.
Anakumbukwa kwa goli la Tik Tak dhidi ya Man City katika ligi kuu na goli lilichaguliwa goli bora la miaka 20 ya EPL.
Ndiye mfungaji bora wa wakati wote katika timu ya taifa ya England huku klabuni akiwa amebakiza magoli 9 awe mfungaji bora wa kihistoria wa klabu hiyo.
Kwasasa ameanza kupoteza makali yake, ikashiria mwisho wa zama umewadia.
Duh kumbe tareh yake ya kuzaliwa na tarehe ya kutugomea arsenal tusiweke rekod ya 50 bila kufungwa ni sawa.1985 - Wayne Rooney anazaliwa.
Ni staa wa Man Utd na timu ya taifa ya England. Anajulikana kama " Wazza " akifananishwa na kiungo matata wa enzi hizo Paul Gascoine " Gazza ". Ni shabiki mkubwa wa Everton.
Ni moja kati ya wachezaji wa Kiingereza aliyekuwa na kiwango kikubwa katika enzi zake.
Ameshinda kila taji kwa level ya klabu.
Anakumbukwa kwa goli la Tik Tak dhidi ya Man City katika ligi kuu na goli lilichaguliwa goli bora la miaka 20 ya EPL.
Ndiye mfungaji bora wa wakati wote katika timu ya taifa ya England huku klabuni akiwa amebakiza magoli 9 awe mfungaji bora wa kihistoria wa klabu hiyo.
Kwasasa ameanza kupoteza makali yake, ikashiria mwisho wa zama umewadia.
Huwa ananikosha kwa mistar yake.. Japo siku hizi ndio muziki siskiliz, ila enzi nasikiliza alikiwa moja kati ya best lyricist kwangu mie1986 - Rapa Drake anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Canada anayefanya kazi zake huko Marekani.
Huku bomba zaid ya bombadia..[emoji23] [emoji23]Poa kabisa kiongozi, vp pande hizo
Duh.. Kwa hyo watu wote tunatakiwa tuumwe polio siku ya leo!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo ni siku ya Polio Duniani.
Hapa wale wenye uwezo kama wa chauroho wa vichekesho vya eatv inawahusu siku hiiLeo ni siku ya Chakula huko Marekani.
View attachment 423329View attachment 4233301985 - Wayne Rooney anazaliwa.
Ni staa wa Man Utd na timu ya taifa ya England. Anajulikana kama " Wazza " akifananishwa na kiungo matata wa enzi hizo Paul Gascoine " Gazza ". Ni shabiki mkubwa wa Everton.
Ni moja kati ya wachezaji wa Kiingereza aliyekuwa na kiwango kikubwa katika enzi zake.
Ameshinda kila taji kwa level ya klabu.
Anakumbukwa kwa goli la Tik Tak dhidi ya Man City katika ligi kuu na goli lilichaguliwa goli bora la miaka 20 ya EPL.
Ndiye mfungaji bora wa wakati wote katika timu ya taifa ya England huku klabuni akiwa amebakiza magoli 9 awe mfungaji bora wa kihistoria wa klabu hiyo.
Kwasasa ameanza kupoteza makali yake, ikashiria mwisho wa zama umewadia.
Jamaa alihujumiwa wazi na Mkurugenzi wa FBI wa wakati huo Edgar HooverKifo cha utata ni lazima, kwa mazingira hayo
I wish afunge hizo goli zilizobak awe mfungaji bora wa muda wote man u..
1986 - Rapa Drake anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Canada anayefanya kazi zake huko Marekani.
Mpaka kesho ninayo DvD yake huwa sichoki kuitazama.Hii mechi naikumbuka sana
2014 - Mbulaeni Mulaudzi anafariki Dunia.
Ni mwanariadha mahiri toka South Africa.
Ni mechi ambayo Arsene Wenger alimlaumu mwamuzi Mike Riley kwa kushindwa kudhibiti pambano.
sawa, muosha huoshwa. We "ll bounce back!Kwa udhamin murua kabsa wa haina ushetan tunakulaga... Shetan kakutana na muinjilist ze buluuz...
Bitoz nakupungia, nawe punga..
Wapi kaka jambaz.. Musolin le dictator
Jimena wangu polee eeh.. Shemej huwa hachekwi.. Domo litakuwa na adab kidogo kwako..
View attachment 423312
Ilikuwa afe Ng'ombe,afe masai lakini Arsenal lazma walale.Figisu figisu zilikuwa za kutosha hii game, nadhan hata fa hawakupenda arsenal kuvunja rekod n kuweka yao
kivipi mkuu?Josee anatakiwa kubeba lawama za wazza
Leo ni siku ya Polio Duniani.
Yah mkuu...alianza kwa moto mkubwa sana!Duh kumbe tareh yake ya kuzaliwa na tarehe ya kutugomea arsenal tusiweke rekod ya 50 bila kufungwa ni sawa.
Happy birthday legend wazza..
Usisahau alipiga hat trick yake kwenye game ya kwanza man u katika uefa..
Wazza