Kwema, habari za hukoKwema wakuu,?
Morning!!Morning fellaz
Amen.....na asanteView attachment 422218View attachment 422219View attachment 422220
Niite Jimena Jimenes na kufikia hapo basi sina la ziada
Nawatakia weekend njema na sabato njema kwa wale wote mnaoifuata.
Nawapenda wote
Pleasure sisAmen.....na asante
Ndio.....kama kawaida katika pozi tofauti...[emoji4][emoji86] naona umesha-change avatar
Asante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJView attachment 422218View attachment 422219View attachment 422220
Niite Jimena Jimenes na kufikia hapo basi sina la ziada
Nawatakia weekend njema na sabato njema kwa wale wote mnaoifuata.
Nawapenda wote
Shukrani murembo wa makapukuView attachment 422218View attachment 422219View attachment 422220
Niite Jimena Jimenes na kufikia hapo basi sina la ziada
Nawatakia weekend njema na sabato njema kwa wale wote mnaoifuata.
Nawapenda wote
Asante JJ.View attachment 422218View attachment 422219View attachment 422220
Niite Jimena Jimenes na kufikia hapo basi sina la ziada
Nawatakia weekend njema na sabato njema kwa wale wote mnaoifuata.
Nawapenda wote
Juzi Kati hapa ulipamba moto sana1947 - Mgogoro wa Kashmir waanza rasmi.
Ni mgogoro wa kugombania mpaka kati ya Pakistan na India.
Leo katika Historia:
1934 - Pretty Boy Floyd anauwawa na FBI.
Alikuwa ni mmoja kati ya Majambazi sugu waliokua wanavamia na kupora fedha Benki katika kipindi cha Mdororo wa Uchumi ( Great Economic Depression 1922-1939 ) huko Marekani