Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Kwema Jerry....nambieKwema mamiiii
Kwema Jerry....nambieKwema mamiiii
Safi tu sweetieKwema Jerry....nambie
Leo hakuna mpira ligi ya ulaya huko?Safi tu sweetie
ZipoLeo hakuna mpira ligi ya ulaya huko?
Mechi za Leo ni zile za matimu ya kuokotezaLeo hakuna mpira ligi ya ulaya huko?
[emoji86] naona umesha-change avatarMi niko poa sana aisee kama hivi naingia kugonga like na kuwacheck family!
Shikamoo mzee?Morning all kapuku
Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chake
Tuwe na jumamos njema
Marahabaaaa, hujambo kijanaShikamoo mzee?