Boko la Terry likasaidia man kubeba ndoo1981 - Nemanja Vidic anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Man Utd, Inter Milan na timu ya taifa ya Serbia.
Alisifika kwa kucheza kwa jihadi bila woga.
Anakumbukwa Man Utd kama kepteni na kwa kutengeneza kombinesheni matata na Rio Ferdinand.
Alitwaa mataji matano ya Epl, na moja la Ligi ya mabingwa mwaka 2008 pale Moscow.
Leo ni wachezaji wa Man tu wanazaliwa1984 - Kieran Richardson anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd, Sunderland, West Brom.
1967 - Paul Ince anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd na Liverpool.
Alikuwa ni kiungo wa shoka sana katika enzi zake.
Aliuzwa na kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson baada ya kuwaambia wachezaji chipukizi akina Giggs na Scholes wamwite yeye Gavana.
Hiyo tupo tunaishi bukoba Enzi hizo mpakani kabisa, hofu ilitawala sanaLeo ni Ndadaye Day huko Burundi.
Wanamuenzi Rais wa 4 wa Burundi aliyeuwawa tarehe kama ya leo mwaka 1993 baada ya Jaribio la Kumpindua kushindwa wakaamua kumuua.
Asante mkuu mussolin kwa leo katika historia bora kabisaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Paul Pogba " Pweza " tukutane kesho.
Muwe na Ijumaa njema wote.
Ijumaa Kareem.
1833 - Alfred Nobel anazaliwa.
Ni mwanakemia na Mhandisi toka nchini Uswizi.
Ndio mwanzilishi wa Tuzo ya Nobel iliyoanzishwa kwa ajili ya kutambua michango mbalimbali ya watu katika Jamii.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Najua kishikwambi kipo, kinapika ugali na kambaleNi kahoma tu siku ya 3 hii
Nisharudi gheto
......
Ni dawa piaMajani ya mpapai
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Hivi kwanini unaumwa mara kwa mara, naana nakumbuka kama week 3 zikizopita uliumwa na leo trna unaumwaNi kahoma tu siku ya 3 hii
Nisharudi gheto
......
Dogo hakuwa na nyota ya kupendwa
1949 - Benjamin Netanyahu anazaliwa.
Ni mwanasiasa na Waziri Mkuu wa 9 wa Israel.
Ni waziri mkuu wa kwanza kuwa mzaliwa wa Taifa hilo.
Acha umbeaHivi kwanini unaumwa mara kwa mara, naana nakumbuka kama week 3 zikizopita uliumwa na leo trna unaumwa
[emoji53] Hapa kuna namna[emoji117] H I V
Ngoja athibitisheHivi kwanini unaumwa mara kwa mara, naana nakumbuka kama week 3 zikizopita uliumwa na leo trna unaumwa
[emoji53] Hapa kuna namna[emoji117] H I V
1969 - Mapinduzi ya kijeshi yanatokea huko Somalia na kumuweka Siad Barre kama kiongozi wa Nchi hiyo.
Hongera sanaHaya nipeni hongera yangu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
122k
Nyie ndo wale ambao kila siku mkisalimiwa jibu lenu ni lilelileNgoja athibitishe
Pole sana BeetlesBitoz leo kaamka vibaya yupo Mabibo Beach Dispensary
Hatoweza kumwekea Dikteta picha
...........
Happy Birthday Kim1980 - Kim Kardashian anazaliwa.
Ni mwanamitindo na muigizaji yoka nchini Marekani.