Sisi tutauzungusha uzi mpaka wakome.....si mods wanajua kazi yao wala hatuwafosi tutakinukisha tu wakiona soo itawekwa tu sticky...wala hatewatafutiLoh hii ni kapuku special thread japo haina kipini cha [emoji419] [emoji419] [emoji419]
Kuna haja ifanywe stickie....
Wala hii haihitaji jekiKuna haja ifanywe stickie....
Siyo tu kapuku...ni kiongozi wetu makapukuNawewe ni kapuku? Mweeeh
Hivi mods nawenyewe ni wakongwe au kuna Haata mods mmoja ambae ni kapuku?Sisi tutauzungusha uzi mpaka wakome.....si mods wanajua kazi yao wala hatuwafosi tutakinukisha tu wakiona soo itawekwa tu sticky...wala hatewatafuti
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mods kapuku wapo, wanaendelea kutupa support.Hivi mods nawenyewe ni wakongwe au kuna Haata mods mmoja ambae ni kapuku?
Ahahahahahahahah....nimekuelewa sana sniper shooterteh teh mwanzishaj wa hili bandko heshima kwako na ss tupat pa kutambia ebo[emoji15] [emoji15] sio kila mar mkongwe hee kisa wakt wa founder et alikuwepo
salute sana[emoji61]
SNIPER SHOOTER
SNIPER SHOOTER
memba mpya anaekuja kwa akasi mwenye mawazo chanya
salute kwake pia[emoji117] [emoji117] SNIPER SHOOTER
SIO KILA cku mie kulike post za wenzio tu[emoji16] [emoji16] wa mh eti ni kupita tu no ifike wakat penye umuhim kila mmoja afany kwa nafad yaje ni hayo tu waungwana
ni mm KAPUKU ASIE NA MAJIVUNO ANAJIELEWA
HESHIMA IDUMU
SNIPER SHOOTER
[emoji1] [emoji1]
NAONDKA HVO
SNIPER SHOOTER SITAKI UMAARUFU ILA NATAKA
UMASHUHURI
naaga Sniper Shooter[emoji113]
na ndio maana moto tumeuanza hapa Chit chat tukianza kampeni kila jukwaa wenyewe watatuona na watatukimbia. Huko waliko wanahitaji wangekuwa wao ndio sisiWe're together.
Kapuku tuanze kupeana support sisi wenyewe kwanza....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huna jina lakini una IDAhahahahahahahah....nimekuelewa sana sniper shooter
Hii ni sehemu yetu ya kujidai sisi tusio na majina
Ndio ni haohao.....huonagi KAPUKU wanaongoza kwa kula banHivi mods nawenyewe ni wakongwe au kuna Haata mods mmoja ambae ni kapuku?
Saluti kwa mods ambao ni kapuku....Mods kapuku wapo, wanaendelea kutupa support.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na tumeshawashinda...
Na bado mapambano yanaendeleaYaani huu uzi umeturn to be a tsunami, unblvble asee😱😱
Et.....?"chit chat always inaongozwa na DUNDERHEAD"......
By Ngedere Ungabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngedere Ungabu salamu zimfikie kokote alipo!"chit chat always inaongozwa na DUNDERHEAD"......
By Ngedere Ungabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli lazima watakuwa wanatamani kuwa makapuku.na ndio maana moto tumeuanza hapa Chit chat tukianza kampeni kila jukwaa wenyewe watatuona na watatukimbia. Huko waliko wanahitaji wangekuwa wao ndio sisi