Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ndomana niliona niweke alama kabla sijalalaKumbuka wkt tupo 900 views uzi ulipigwa kufuli zen tukaanza upya na 001 viees
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Ndomana niliona niweke alama kabla sijalalaKumbuka wkt tupo 900 views uzi ulipigwa kufuli zen tukaanza upya na 001 viees
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

kuitambua tu dharau ni mwanzo wa kujua nini tunachokimaanisha. Kutambua dhana ya wakongwe ni wale wanaoandika pumba lakini wanapewa shobo la kutosha.. Wewe sio mmoja wao na kama wewe sio mmoja wao karibu tupambane kurudisha Hadhi ya Jf kutoka kwa wanaojiita wakongweSijajua paka sasa dhana ya ukongwe inamaanisha Nini? Labda unipe darasa...
Maaana kama ni umri Wa kuwa jf..? Au it goo beyond that....
Ila dhana ya kapuku nimeielewa vema. Kana dharau flani hivi japo binafsi haijawahi kunikuta ila huwa siipend
Tumekamilika kila idara, wasituchukukie poaHahahahaaaa.. Kumbe humu tuna ulinzi shirikishi
Makapuku chama kubwa.Asante sanaaaaa
Watabana mwishoe wataachia
Hahahahaaaa.. Kumbe humu tuna ulinzi shirikishi
Tumekamilika kila idara, wasituchukukie poa
Pamoja tutashinda.Pamojaaa
Safi sana.. Ngoja mm nijitolee kukaa Lango kuuTumekamilika kila idara, wasituchukukie poa
Huyu analeta uchulo.Siku nyingine usirudie kuuliza swali kama hilo
Na tumeshawashinda...Pamoja tutashinda.
Nakuaminia Kiongozi.Asante sanaaaaa
Watabana mwishoe wataachia
We're together.kuitambua tu dharau ni mwanzo wa kujua nini tunachokimaanisha. Kutambua dhana ya wakongwe ni wale wanaoandika pumba lakini wanapewa shobo la kutosha.. Wewe sio mmoja wao na kama wewe sio mmoja wao karibu tupambane kurudisha Hadhi ya Jf kutoka kwa wanaojiita wakongwe
Hapana undergroundKwahio na mm nikapuku
Nawewe ni kapuku? MweeehTumekamilika kila idara, wasituchukukie poa
Ahaaaa Haaaa..... Haaaaa.
Nawewe ni mrogi? Tukupe idara ya ufundi?Safi sana.. Ngoja mm nijitolee kukaa Lango kuu
Kuna haja ifanywe stickie....Loh hii ni kapuku special thread japo haina kipini cha![]()
![]()
![]()
Mi mwenyewe kanitisha na hivi leo kanisani tuli yateketeza nashangaa kulikuta tena hukuAhaaaa Haaaa..... Haaaaa.
Hapa mods lazima waogopeeee....