Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Pole sana rafikiBitoz leo kaamka vibaya yupo Mabibo Beach Dispensary
Hatoweza kumwekea Dikteta picha
...........
AhsantePole sana rafiki
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unazitunza eeh. Katika zile couples ambazo umeziona humu iliyodumu mpaka sasa ni mimi na lizziebettie ingawa humu humuoni sana.
Bisha sasa
Fanya hivyoAhsante
Naona wazee wa picha wanategeana
Nikifika gheto nitazileta
.....
Utakubali tu[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Haya kamlete @lizziebite hukuUtakubali tu
Aisee pole sana kamanda.Bitoz leo kaamka vibaya yupo Mabibo Beach Dispensary
Hatoweza kumwekea Dikteta picha
...........
Ahsante
Naona wazee wa picha wanategeana
Nikifika gheto nitazileta
.....
Kesho utamuona hapa wala Usijali.Haya kamlete @lizziebite huku
Leo ni Ndadaye Day huko Burundi.
Wanamuenzi Rais wa 4 wa Burundi aliyeuwawa tarehe kama ya leo mwaka 1993 baada ya Jaribio la Kumpindua kushindwa wakaamua kumuua.
Ni kahoma tu siku ya 3 hiiAisee pole sana kamanda.
Umepata dawa.Ni kahoma tu siku ya 3 hii
Nisharudi gheto
......
2014 - Gough Whitlam anafariki Dunia.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 21 wa Australia.
Sio majani ya mbilimbiMajani ya mpapai
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
2012 - Alf Kumalo anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwandishi wa habari na mpiga picha toka Afrika Kusini.
KweliBinafsi sihitaji kuongoza likes km vipi Fanya juu chini unipite
Mfano Musso ni maarufu kuliko jambilo sababu ya "Leo ktk historia" Jf wengi wanamsoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......