Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,320
- 68,397
Leo katika Historia:
1933 - Ujerumani yajitoa katika Jumuiya ya Mataifa. ( League of Nations )
Hali hiyo ilipelekea Ujerumani kujiandaa kwa ajili ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
1986 - Samora Machel anafariki Dunia.
Alifariki baada ya ndege aliyokuwa amepanda kupata ajali na kuanguka huko katika milima ya Lebombo.
Inaaminika aliuliwa na majasusi wa Kikabulu.
1986 - Samora Machel anafariki Dunia.
Alifariki baada ya ndege aliyokuwa amepanda kupata ajali na kuanguka huko katika milima ya Lebombo.
Inaaminika aliuliwa na majasusi wa Kikabulu.
1944 - Peter Tosh anazaliwa.
Alikuwa ni mwanamuziki wa Reggae toka nchi ya Jamaica.
Alikuwa ni mtaalam wa gita, na inaaminika nchini Jamaica yeye ni maarufu zaidi ya Bob Marley.
Alifariki mwaka 1987 na siku yake aliyofariki kila mwaka huwa ni mapumziko kwa ajili ya kumuenzi.
Morning mukongoGoodmorning family
1954 - Sam Allardyce anazaliwa.
Ni mchezaji na kocha wa zamani wa Bolton, West Ham, Sunderland na timu ya taifa ya Uingereza.
Anajulikana kama Big Sam.
1977 - Habib Beye anazaliwa.
Ni beki wa kulia wa zamani wa Marseille, Newcastle, Astin Villa na timu ya taifa ya Senegal.
Unaenda wapi sasa wee mtoto
Ahsante kaka..Hongera mkuu
Inasemekana walimmalizia chini, alikuwa hai baada ya ndege kuanguka..1986 - Samora Machel anafariki Dunia.
Alifariki baada ya ndege aliyokuwa amepanda kupata ajali na kuanguka huko katika milima ya Lebombo.
Inaaminika aliuliwa na majasusi wa Kikabulu.
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji24] [emoji24] [emoji24]2005 - Saddam Hussein anapandishwa mahakamani kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu.
Alikuwa ni kiongozi wa zamani wa Iraq. Alikutwa na hatia na kunyongwa mwaka 2006.