Makapuku Forum

Ushawahi kukosana na jamaa lenye nguvu, linataka kukupiga, tena lina hasira hadi lina tetemeka, na wewe pia kwasababu ni mwanaume na hutaki kuonekana boya, inakubidi unajijaza pia, lakini moyoni unasema,

"MUNGU simama na mimi mtumishi wako,BWANA wa majeshi wacha ukaonekana mahali hapa fanya hawa watu waliotuzunguka watushike tusipigane mfalme wa wafalme mungu wa Eliya"
?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…