tatizo lao wanataka umaarufu wakati wamefika jana halafu wanataka kuwa sawa na kina lalaHabari za Jumamosi wanaukumbi...
Ile kauli ya matabaka hayaepukiki katika jamii imejidhihirisha ndani ya JF baada ya kuibuka kwa members wanaojiita " Makapuku " ambao wengi wao ni members wapya wakilalamika kutopatiwa ushirikiano na members ambao ni wakongwe.
Makapuku wameenda mbali zaidi na kufungua thread yao wakiita Makapuku forum kama sijakosea ikiongozwa na Bitoz Th Name na wengineo, je hii nini maana yake ndani ya JF? Ni kweli ndani ya JF kuna utabaka kati ya wakongwe na members wapya?
Lisa Van Girl bado anadundaHivi van jipu gaal bado kocha tuu???
Heheheheeee..... Baba mtumishi akisikia ivyo sasa ivi atakuita chumbaniYes..mahaba hayamjui mama mtumishi,bali.mama mtumishi ndiye anayajua mahaba.
ahaa...nini kifanyike sasa?tatizo lao wanataka umaarufu wakati wamefika jana halafu wanataka kuwa sawa na kina lala
Baba mtumishi umekosea.. Tengue asije ona mamaUtakavyo my swirr cna neno
PoleniHapana, wakati huu ni mvua ya hakika, chemba kama dawa mkuu ni shida
wapewe elimu ....na waheshimu waliotangulia hapa bila wao jf isingefika hapa japokuwa tunategemeanaahaa...nini kifanyike sasa?
Kaazi kweli...Mie mwenyewe sina uhakika ka zimetiki or wat!!! Ngoja sunshine arudi kwanza🙄
Ban ikiisha si watarudi?Wapigwe tu ban maana hamna namna!
ivi we jamaa ni shabiki wa timu gani maana duh una vijembe laanaLisa Van Girl bado anadunda
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
................
Aisee ni kweli mkuuAiseee...... tuwape ushirikiano bhasi
Unaweza Ku pause kidogo sizzya apate majibuJimena... Hujambo
Mansheeder Ubwegetedivi we jamaa ni shabiki wa timu gani maana duh una vijembe laana
hahaha mkuu umewachochea waje kukushambuliaWaache kuja na hoja za kipuuzi