Makapuku Forum

1933 - Albert Einstein anakimbia nchi ya Ujerumani chini ya Utawala wa mkono wa chuma wa NAZI na kuelekea uhamishoni nchini Marekani.

Hii ni baada ya kuina usalama wake ukiwa mdogo.

Alikuwa ni mtaalam wa Fizikia toka nchini Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…