Makapuku Forum

Sijajua paka sasa dhana ya ukongwe inamaanisha Nini? Labda unipe darasa...
Maaana kama ni umri Wa kuwa jf..? Au it goo beyond that....
Ila dhana ya kapuku nimeielewa vema. Kana dharau flani hivi japo binafsi haijawahi kunikuta ila huwa siipend
kuitambua tu dharau ni mwanzo wa kujua nini tunachokimaanisha. Kutambua dhana ya wakongwe ni wale wanaoandika pumba lakini wanapewa shobo la kutosha.. Wewe sio mmoja wao na kama wewe sio mmoja wao karibu tupambane kurudisha Hadhi ya Jf kutoka kwa wanaojiita wakongwe
 
We're together.
Kapuku tuanze kupeana support sisi wenyewe kwanza....
 
Kapuku nimetoka kanisani nakuja kukisanusha hapa!!!

Mshana jr nakuona pale na mambo yako😱

Nashawishika either umekuja kufanya ulonzi au ushushu, but certainly one of the twoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ (kidding),

Karibu mkongwe pekee ambaye huna madharau, or labda sijawai kukutana nazo kutoka kwako😱
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…